Miliki ni pale kitu kinapokua cha kwako au mali yako.

Miliki ni kampuni inayowasaidia watanzania kumiliki bidhaa tofauti tofauti kwa kulipia kianzio kidogo kulingana na aina na bei ya bidhaa, kisha kumalizia kiasi kilichobakia kwa mda na rejesho litokanalo na uwezo wake.